Amatus Liyumba: Balaa!

Amatus Liyumba: Balaa!

Huyu Jamaa inabidi aozee selo kabisa. Bilioni 220 za kitanzania ni pesa nyingi sana.

As guilty as he could be if found, behind him is a group of guitier people to whom he was responsible. Kabla hajaozea selo as you say it, it would sound to me more meaningful to arrest and bring to justice those who left him get to that point. Sisi tulioko nje tumekuwa tukipiga kelele nyingi kuhusu the twin towers project, I will be the last person to be convinced that the board of directors needed to be adviced by any potato that the project was smelling shit. Bahati yake mbaya (I'm not saying he is clean) amewafanyia kazi watu waliomwongoza kwenda shimoni na yeye akajipeleka. The working approach for this country should be up to bottom and not vice versa.

My point here is that unless we are courageous enough to track the root (which is known anyway) and retract it from the system, this game is on forever. Unfortunately the root itself is in the deal or is benefiting from the deal, so it will be really difficult to clean anything out there.
 
Mbona ile nyumba nyingine hakuiwakilisha mahakamni kama dhamana ama anautajiri mkubwa ambao ameuficha?
 
haingii akilini kwamba Liyumba na mwenzake Kweka waliweza kuidanganya Bodi ya BOT na kuchota mabilioni yote hayo. Naomba kama kuna mtu anajua list ya waliokuwa member wa bodi wakati huo aiweke tafadhali. Najua katia yao alikuwepo marehemu Balali na Gray Mgonja kama Katibu Mkuu Hazina kama sijakosea. Hawa watu lazima wachunguzwe kwa kina, they know how this game was arranged.
 
Nakumbuka mama meghji alivyoutetea mradi huu bungeni kabla ya kupokonywa uwaziri.Kumbe ilikuwa changa la macho?
Jamani Tanzania, inakwenda wapi nchi hii.
 
Kwa mudau aliyezungumzia watu alioshilikiana nao, nao wakamatwe Liyumba asiwe Kafara,katika kanuni za utawala mtu ana (delegate responsibilities/majukumu yake lakini hawezi kudelegeti uwajibikaji/authority). Kwa hiyo kinacho mkamata Liyumba sasa hivi ni uwajibikaji yeye ndo alikuwa na dhamana yote board ilimsikiliza inaweza ikadai kuwa ilidanganywa na mtaalamu hivyo yeye ndo mhusika mkuu na anapaswa kuwajibika kwa hilo.Labda linaweza kuwa fundisho kwa viongozi wengine,kimisingi kukitokea umwagaji wa damu wowote kwa sasa Rais ndo atawajibika na wasaidizi wake kwa maana ameweza kugawa/delegate majukumu yake kwa wasaidizi wake lakini kuwajibika kwa wananchi ni yeye siyo wasaidizi wake.Nadhani wadau mtanielewa najaribu kusema nini.
 
Sitaki kumtetea yeyote aliyewaibia watanzania.
Ila naomba sasa nao wawekewe mchakato wa kutaja walikula na nani, Nani aliwakuwa akiongoza mikakati yao katika ngano za siasa?
Kama mchoro wote utakuwa wazi na kutuhakikishia ukweli kuhusu kila aliyekula hela zetu basi tutaridhika.

Lakini iwe iwavyo huyu mkubwa na mwenzake Kweka ni kondoo wa kafara tu kwenye shughuli nzima. Wapo walaji wengine wenye umuhimu mkubwa. Kama huoni ukweli wa hili ilikuwaje Mama Meghji akawatetea kwa nguvu zote? Chukua pia mfululizo wa matukio yote ya kutetea ujenzi wa majengo pacha na mambo mengine mengi ya kifisadi yaliyofanywa Benki Kuu.
 
this man liyumba,vilified has he has been,could still walk out of court a free man,the saga is fraught with lots of abnomalities-he just happens to be a fringe player whereby the big fish are safely busking in the sun
 
Taffu 69,

Huyu Balali kama ni marehemu kweli basi!,
 
No wonder aliiba hizo hela zote so he could seduce women, I feel sorry for those women who went for money.
With that face of his, how do you even allow him to touch you, and touch you even farther...

Sura yake mbaya kama roho yake, na akawe kuni huko anakoenda
 
Hivi akiaamua kutaja alio kula nao kama watuhumiwa wengine wanavyo fanya kwenye kesi zingine tunavyo shuhudia watu wanatajana...Je huyu jamaa akitaja wanawake alio kula nao hizo Bilioni watakamatwa nao?
 
kwani alokula nao aliwaambia ni mali ya wizi?. sidhani kama kuna sheria ya kumshtaki mtu kwa kula mali na mtu aliyepata kwa njia ya wizi kama hujamsaidia wala kujua kama kaiba.
 
Inaingia akilini kusema Hizo Twin Towers Zinajengwa, zinatetewa kwa nguvu zote na waziri bungeni(ZAKIA), halafu eti Liumba alikuwa na Kweka tu! Hao wanaitwa wajumbe wa bodi hawakuwahi kuona uzio umezunguushwa, na ujenzi kuendelea mpaka kumalizika? isitoshe jengo liko usoni pa mahali patakatifu (Mwl J.K.Nyerere). Jamani huu usanii mpaka lini? Basi tufanye hizo Twin Towers ni za Liumba na BOT ni wapangaji!
 
Kama ni kweli. Nawashauri dada zangu acheni kupenda vya kupewa na kulipa kwa kutoa miili yenu ifanyiwe uchafu.
Fanyeni kazi dada zangu, msipende umaarufu wa kuendesha magari ya kifahari kwa malipo ya miili yenu, itawagarimu maisha yenu yote.
Poleni sana, ila mtawauwa wengi wasiokuwa na hatia.
Sioni kama kuna ubaya wa kuwaelezea watu ukweli wa mambo, kwasababu sasahivi ukimwi utatumaliza watanzania. Namuomba rais ikiwezekana na wanaosambaza ukimwi kwa makusudi nao wapigiwe kura.
Members tutoe habari za kweli na za uhakika, tusilete mambo ya uzushi.
 
Kama ni kweli. Nawashauri dada zangu acheni kupenda vya kupewa na kulipa kwa kutoa miili yenu ifanyiwe uchafu.
Fanyeni kazi dada zangu, msipende umaarufu wa kuendesha magari ya kifahari kwa malipo ya miili yenu, itawagarimu maisha yenu yote.

Kwa bongo kuwa na hilo la 'Kifahari' siyo rahisi sana kwa kufanya kazi halali!!! ndo maana wanafanya hiyo kitu!..., kwanza unainjoy...then..unazawadiwa gari la kifahari!
 
Hello everybody!!!

Asante kwa kunikaribisha kwenye JamiiForum.
Huyu jamaa ni balaa kweli tusipoangalia tutakwisha wote.
 
kwani alokula nao aliwaambia ni mali ya wizi?. sidhani kama kuna sheria ya kumshtaki mtu kwa kula mali na mtu aliyepata kwa njia ya wizi kama hujamsaidia wala kujua kama kaiba.
Ataje tuu aliokula nao ili washughulikiwe,hata kama ni wakubwa ili kukomesha wizi huu wa kufuru.
 
Hello everybody!!!

Asante kwa kunikaribisha kwenye JamiiForum.
Huyu jamaa ni balaa kweli tusipoangalia tutakwisha wote.

Karibu sana naona umeanza na Amatus Liyumba...umepitiwa kwenye anga zako?
 
Back
Top Bottom