Amatus Liyumba: Balaa!

kisukari na presha
 
Hajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo
Mpaka nimejishangaa,nilikuwa noma hata sikumbuki kama niliwahi changia namna hii kwenye huu uzi,RIP AMATUSI
 
Niambie,huu uzi ni balaa,imenibidi niusome upya,miaka sita iliyopita ulianzishwa huu uzi,ila ARV zinasaidia sana
Haha hivi hawa si wanabadilisha damu huwa ,na hizo ARV zikamsaidia kuongeza siku
 
Wale waliopewa Mali kamanyumba Gari bila kadi wanasheria Wa jf tunawasaidiaje maana mkewe nafikiri alishafariki sijui wanae wanazo NA wanaanzaje
 
Duh jf KUNA wafukunyuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…