Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Inasemekana kafa leo mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kisukari na preshaHi guys!
Yule fisadi wa BOT aliekuwa akigawa gari nyekundu kwa ma miss na madazetu na kufanya wengine kuogopa hata kwenda kupima kutokanan na mawzo hivi jana alianguka akiwa kazini akisuburi kupangiwa nafasi nyingine...
Kwa wale wenye ndugu BOT mnaweza nyonya data zaidi tumwagie. Ninachofahamu alielekea hospital ya Aghakhan na baadae kuruhusiwa, kutokana na pressure na kisukari.
Mie "chichemi"
ilikuwa inaenda kwa pm, na nakumbuka ulikataa pm kwa sababu hupendi vilivyofichwaSi mchezo,hatimae hii thread imefukunyuliwa,RIP Amatus
Mpaka nimejishangaa,nilikuwa noma hata sikumbuki kama niliwahi changia namna hii kwenye huu uzi,RIP AMATUSIHajatembea na binti yake the issue is alitembea na mke wa mfanyakazi mwenzake hapo BOT!yule baba akaamua kulipiza kisasi kwa kutembea na binti ya Lyumba!mzunguko ndo ukawa kihivyo
Can you imagine,8 yrs ago,nimeshangaa kwa kweli,RIP Baba Amatusi Mungu akusamehe makosa yakoilikuwa inaenda kwa pm, na nakumbuka ulikataa pm kwa sababu hupendi vilivyofichwa
Niambie,huu uzi ni balaa,imenibidi niusome upya,miaka sita iliyopita ulianzishwa huu uzi,ila ARV zinasaidia sana
Haha hivi hawa si wanabadilisha damu huwa ,na hizo ARV zikamsaidia kuongeza sikuNiambie,huu uzi ni balaa,imenibidi niusome upya,miaka sita iliyopita ulianzishwa huu uzi,ila ARV zinasaidia sana