Amazing beautiful romantic photos

Amazing beautiful romantic photos

Itakua GMOs hizi mkuu. Rangi inapendeza lakini ndizi zimefanyiwa utundu wa uhandisi jeni(geni). Sio rafiki sana kwa afya ya binadamu
Sio GMO mkuu hizo ndizi ni natural kabisa.kuna ndizi nyingi tu ukanda huu wa mbeya na Songwe tangia miaka hiyo mi mdogo mwanzoni mwa miaka ya 80 nimezikuta na kula na mpaka leo zipo ila ni adimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
e066.jpg
 
Back
Top Bottom