Amazon kuzindua mshindani wa Starlink mwaka 2024

 
Hivi hatuwezi tumia dish na receive kupata internet Kuna siku nilisoma soma mtandaoni nikaona uwezekano upo Kuna kifaa ina 2 in 1 Yani Port ya input ipo moja na out put zipo mbili happy ndo out put moja ndo inatoa internet wajuzi wa mambo mawazo yenu muhimu
 
Kwa kifupi hapana, dish na receiver za kawaida/TV haziwezi kutuma data zinapokea tu. Internet inahitaji kutuma na kupokea kila wakati. Port za kwenye receiver sio za kutuma data ni za kubadili settings za receiver.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…