Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mPM Invisible muambie jina ambalo ungependa kulitumia,kama kutakuwa hakuna MTU anayelitumia basi watakubadilishia.
akaunti moya ndio jibu rahisi kwa swali hili ila.........ilitakiwa pawepo na option ya kufanya hivyo mbona mwanzoni tulijisajili kimya kimya sasa unaweza uka m`pm ndio utakutana na mlolongo wa maswali na nahisi jibu lao la mwisho itakuwa ufungue akaunti mpya
Hapana Mkuu,watakubadilishia bila bugudha yeyote. Ilimradi tu jina unalolitaka lisiwe linatumiwa na yeyoteilitakiwa pawepo na option ya kufanya hivyo mbona mwanzoni tulijisajili kimya kimya sasa unaweza uka m`pm ndio utakutana na mlolongo wa maswali na nahisi jibu lao la mwisho itakuwa ufungue akaunti mpya
Eh!Kupata ban...
UmeniwahiKupata ban...
User name tuma maombi kwa mod hasa pmmimi kubadilisha user name.....
Haijawahi nikuta hii mkuu,vipi wewe?Umeniwahi
Mimi mwenyewe iliwahi nitokea hii lakini mwishoni ukishaandika uzi kuna neno 'create thread' bofya hapo unaweza kuhisi unaanza upya ila ndo unakuwa umepost!Mimi nashindwa kuanzisha Uzi! Baada kuandika title na kuweka content, option ya kupost haionekani. Hapa nafanyaje? Nilijaribu kwenye simu na computer pia option ya kupost haionekani. Naomba msaada wenu