Ambacho Bado Kinakupa Tabu Kutumia JF

Ambacho Bado Kinakupa Tabu Kutumia JF

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Kama bado unasumbuka matumizi mazuri ya JF tukutane hapa

Mie ni vitu viwili naomba kusaidiwa

1. Jinsi ya Kusahihisha tittle/heading maana sioni option yake

2. Jinsi ya kuzungushia maandishi ama picha kwa kitu kama wino hivi
 
aikarumuambie: 17020510 said:
mimi kubadilisha user name.....
mPM Invisible muambie jina ambalo ungependa kulitumia,kama kutakuwa hakuna MTU anayelitumia basi watakubadilishia.
 
ilitakiwa pawepo na option ya kufanya hivyo mbona mwanzoni tulijisajili kimya kimya sasa unaweza uka m`pm ndio utakutana na mlolongo wa maswali na nahisi jibu lao la mwisho itakuwa ufungue akaunti mpya
 
akaunti moya ndio jibu rahisi kwa swali hili ila.........
 
ilitakiwa pawepo na option ya kufanya hivyo mbona mwanzoni tulijisajili kimya kimya sasa unaweza uka m`pm ndio utakutana na mlolongo wa maswali na nahisi jibu lao la mwisho itakuwa ufungue akaunti mpya
Hapana Mkuu,watakubadilishia bila bugudha yeyote. Ilimradi tu jina unalolitaka lisiwe linatumiwa na yeyote
 
Mimi nashindwa kuanzisha Uzi! Baada kuandika title na kuweka content, option ya kupost haionekani. Hapa nafanyaje? Nilijaribu kwenye simu na computer pia option ya kupost haionekani. Naomba msaada wenu
 
Ni jukwaa gani zile story za akina majigo, mzizimkavu zinapatikana maana ndo zilo nishawishi kujiunga jf
 
Mimi nashindwa kuanzisha Uzi! Baada kuandika title na kuweka content, option ya kupost haionekani. Hapa nafanyaje? Nilijaribu kwenye simu na computer pia option ya kupost haionekani. Naomba msaada wenu
Mimi mwenyewe iliwahi nitokea hii lakini mwishoni ukishaandika uzi kuna neno 'create thread' bofya hapo unaweza kuhisi unaanza upya ila ndo unakuwa umepost!
 
Back
Top Bottom