Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,869 Jul 30, 2016 #21 kagulilo1 said: Ni jukwaa gani zile story za akina majigo, mzizimkavu zinapatikana maana ndo zilo nishawishi kujiunga jf Click to expand... Jamii intelligence
kagulilo1 said: Ni jukwaa gani zile story za akina majigo, mzizimkavu zinapatikana maana ndo zilo nishawishi kujiunga jf Click to expand... Jamii intelligence
Nelson nely JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 4,251 Reaction score 2,869 Jul 31, 2016 #22 Halafu kuna jinsi ya kuweka rangi kwenye baadhi ya maneno kwenye thread ya mtu ili niyatolee ufafanuzi ama kukosoa,bado sijajua wakuu,mwenye kujua tafadhali...
Halafu kuna jinsi ya kuweka rangi kwenye baadhi ya maneno kwenye thread ya mtu ili niyatolee ufafanuzi ama kukosoa,bado sijajua wakuu,mwenye kujua tafadhali...
Donson Member Joined Jul 25, 2017 Posts 63 Reaction score 65 Aug 27, 2017 #23 Amavubi said: Kama bado unasumbuka matumizi mazuri ya JF tukutane hapa Mie ni vitu viwili naomba kusaidiwa 1. Jinsi ya Kusahihisha tittle/heading maana sioni option yake 2. Jinsi ya kuzungushia maandishi ama picha kwa kitu kama wino hivi Click to expand... Iyo no1 kubadil tittle mi pia ishanishinda
Amavubi said: Kama bado unasumbuka matumizi mazuri ya JF tukutane hapa Mie ni vitu viwili naomba kusaidiwa 1. Jinsi ya Kusahihisha tittle/heading maana sioni option yake 2. Jinsi ya kuzungushia maandishi ama picha kwa kitu kama wino hivi Click to expand... Iyo no1 kubadil tittle mi pia ishanishinda
Mine eyes JF-Expert Member Joined Apr 11, 2016 Posts 6,496 Reaction score 7,162 Aug 28, 2017 #24 Kufungua thread yangu....nilibadili cm imekuwa shida...., Sent using Jamii Forums mobile app