Ambacho Bado Kinakupa Tabu Kutumia JF

Ambacho Bado Kinakupa Tabu Kutumia JF

Halafu kuna jinsi ya kuweka rangi kwenye baadhi ya maneno kwenye thread ya mtu ili niyatolee ufafanuzi ama kukosoa,bado sijajua wakuu,mwenye kujua tafadhali...
 
Kama bado unasumbuka matumizi mazuri ya JF tukutane hapa

Mie ni vitu viwili naomba kusaidiwa

1. Jinsi ya Kusahihisha tittle/heading maana sioni option yake


2. Jinsi ya kuzungushia maandishi ama picha kwa kitu kama wino hivi
Iyo no1 kubadil tittle mi pia ishanishinda
 
Back
Top Bottom