Ambacho kingetokea Leo, angekuwa mtoto wa MAFIA

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Bashite angekuwa mtoto wa Don kwenye movie la Kimafia. Leo hii angeitwa sebuleni kwa mshua. Angepewa glasi ya mvinyo wangegonga cheers. Kisha mshua angemuambia *"Good Boy"* ...Baada ya hapo angepewa kipigo cha nguvu kinoma na kuambiwa *"Watoto wa Madon hawafanyi movie za kifala na kibwege kama hizo."*
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji118] Division bashite
 
Yeye mwenyewe division zero, amefeli kila hatua yaani darasa la nne alifeli, la saba alifeli la kumi na mbili alifeli pia. Unadhani anaweza Fanya move gani yenye maana zaidi ya hiyo? Hapo amejitahidi kutumia akili yake yoote ndo kaishia hapo.
 
Jamaa ni zero brain,alitakiwa akae kimya watu wangechoka wenyewe.
 
Au angenyimwa hela ya matumizi leo na bwana wake
 
Unanikumbusha Michael Corleone alivyo mmind mtoto wà kaka yake Soni baada ya kumng'ata sikio jamaa mmoja mbele ya Michael
 
mwisho kabisa mshua anamwambia mwana... bashite mwanang vyeti umeweka wapi lakin???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…