Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu katika kiwango chako umenitoa stress zoteBashite angekuwa mtoto wa Don kwenye movie la Kimafia. Leo hii angeitwa sebuleni kwa mshua. Angepewa glasi ya mvinyo wangegonga cheers. Kisha mshua angemuambia *"Good Boy"* ...Baada ya hapo angepewa kipigo cha nguvu kinoma na kuambiwa *"Watoto wa Madon hawafanyi movie za kifala na kibwege kama hizo."*