Ambacho kingetokea Leo, angekuwa mtoto wa MAFIA

angemwita afu angemwambia hivi mwanangu ulivuta bangi mbichi au walikuchanganyia na maviii mwanangu mbona umenitiaa aibuu ya mwakaaaa hiiii
 
Umenikumbusha muvi inaitwa John Wick
 
John Wick na baba yoga..
 
Yeye mwenyewe division zero, amefeli kila hatua yaani darasa la nne alifeli, la saba alifeli la kumi na mbili alifeli pia. Unadhani anaweza Fanya move gani yenye maana zaidi ya hiyo? Hapo amejitahidi kutumia akili yake yoote ndo kaishia hapo.
duhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…