Ambangile: Inonga ndio beki bora wa kweli na halali

Ambangile: Inonga ndio beki bora wa kweli na halali

Kila mtu ana mtazamo wake kwa vigezo vyake
Ni km mdahalo wa CR7 na MESS wa nani bora

Kitu kizuri ni kwamba tuzo ndo zishatolewa na inabidi ukubali km hutaki andamana
 
Mi sishangai

Hata Gongowazi nao wanaujua ukweli.

Mzamiru hajapata tuzo yeyote wakati Gongowazi wenyewe humu walikuwa wanajifanya wanamponda juwa hajui.

Lakini ile siku Taifa stars tunacheza na Uganda tuliwaona reaction zao wakati kocha anamtoa nje Mzamiru.

Wote wakaanza kushangaa kuwa huyu Kocha vipi, anamtoaje nje Mzamiru.
Kwa hiyo match moja na Uganda ndio impe Uchezaji bora? Mbumbumbu Pro Max
 
Back
Top Bottom