Mi sishangai
Hata Gongowazi nao wanaujua ukweli.
Mzamiru hajapata tuzo yeyote wakati Gongowazi wenyewe humu walikuwa wanajifanya wanamponda juwa hajui.
Lakini ile siku Taifa stars tunacheza na Uganda tuliwaona reaction zao wakati kocha anamtoa nje Mzamiru.
Wote wakaanza kushangaa kuwa huyu Kocha vipi, anamtoaje nje Mzamiru.