Wanduta
Senior Member
- Mar 28, 2018
- 123
- 40
Tuweni wa kweli,wadada na wakaka ambao bado ku do,na je?tu handle vipi the real situation mitaani kwa maseng'enyo,matambo,matukano na unafiki kwa watu ambao wanesha experience haya mambo.kama kuitwa muoga,ujui kitu,uko zuzu,sio mzima,Domo zege,nakadharika KARIBUNI.