Ambao awajawahi kufanya mapenzi tukutane hapa

nipo hapa mjumbe wa #chaputa
miaka 14 nipo katika mahusino na sabuni
kwani vipi mkuu?
 
[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji23][emoji23][emoji23]nmekuja kusoma comment za madomo zege
Nipo hapa domo zege,domo langu linaujauzito,domo limejaa mate.

Nikikutana na binti domo linakuwa zito kama nimekula gundi.

Ukifika kwa mtaa ukauliza, Alisina Yuwapi..? Utasikia wahuni wanaitikia oohh yule domo zito atakuwa nyumbani au klabuni anapata ulevi apate makofidensi.

Udomo zege unaniponza mimi,,,domo langu hili la aina gani au nimelogwa na washenzi..? Nafwaaa mimi.
 
hakuna mwanachama wa chaputa ni domo zege
yani hata kuuliza ile sabuni iko wap unashindwa?
 
Back
Top Bottom