kweli kabisa weyeee hapo!!!!Miyeee hapa
chaputa nin?Nadhani mimi ni mwenyekiti wenu
Hilo sio la kuuliza kabisachaputa nin?
Ndiyoookweli kabisa weyeee hapo!!!!
Nipo hapa domo zege,domo langu linaujauzito,domo limejaa mate.[emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji1322][emoji23][emoji23][emoji23]nmekuja kusoma comment za madomo zege
Mimi sijaandika ili kukuonyesha kua nakutaka. Noo nimeandika tuNataka ambae bado
Mbona mkali au kisa amekutenga
hahahahahahahahahahahahahahahaHilo sio la kuuliza kabisa
hakuna mwanachama wa chaputa ni domo zegeNipo hapa domo zege,domo langu linaujauzito,domo limejaa mate.
Nikikutana na binti domo linakuwa zito kama nimekula gundi.
Ukifika kwa mtaa ukauliza, Alisina Yuwapi..? Utasikia wahuni wanaitikia oohh yule domo zito atakuwa nyumbani au klabuni anapata ulevi apate makofidensi.
Udomo zege unaniponza mimi,,,domo langu hili la aina gani au nimelogwa na washenzi..? Nafwaaa mimi.
Nimelogwa si bure walahi!!!hakuna mwanachama wa chaputa ni domo zege
yani hata kuuliza ile sabuni iko wap unashindwa?
Mkuu ulikua unafanyia machakani au magetoni 😀 😀Nilanza kujua nyumba za wageni nikiwa na miaka 24, nahisi naweza kuwa mshauri mzuri kwenu