FirstClass
JF-Expert Member
- Dec 29, 2016
- 1,100
- 1,363
kwel mkuu..Inawezekana kabisa ni maamuzi tu.
Ngono sasa baasii..Inawezekana
Tufanye maamuzi kwa vitendo sasainawezekana kabisa kama tu tusipojiendekeza.
Nakusalimia Mtalaka wangu. Habari?Haiwezekani
Ugumu ututawale..Inawezekana tuendelee kujifanya wa gumu
[HASHTAG]#UsipateUkimwi2017[/HASHTAG]tulifanya tokea mwaka mpya na leo kuna mtt namset bila shaka atakaa sawa, nawatakia kila la heri!
[HASHTAG]#SayNoToManyPatners[/HASHTAG]Ambao hamjaoa au kuolewa ndo mna kiburi kama hicho. Sisi wazee na familia zetu,aaagh ni lazima.