Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Ambao hatujafanya mapenzi mwaka2017 tukutane hapa..

Nakusalimia Mtalaka wangu. Habari?
201408_1617_gigic_sm.jpg

Who is this??[emoji57]
 
Mimi mpaka sasa sijafanya ila jana kidogo nimle mtu
 
Tangu mke wangu aende nyumbani kwao kujifungua, sijafikiria kabisa kuhusu kufanya mapenzi tofauti na mke wangu.Nilichojifunza ni kuwa 'busy' na kazi zangu binafsi, naingia kazini saa moja asubuhi natoka saa nne usiku, nafika nyumbani nimechoka naoga na kulala. Saa ngapi nitafikiria mapenzi, sina 'stress' mie.
 
Wewe kijana siyo riziki eeh mbona unasema usitoe 0713 inamaana mwanzoni ilikuwaje? Embufafanua kidogo
 
Mwaka wa nne huu naingia sijui nikijakufanya sitokuwa nimepoteza ubora....

Dunia Uwanja wa Fujo
 
Kama wote tukiwa wasema ukweli, basi huu uzi hautapata member hata mmoja. Kuna watu wapenzi wao wako nje ya nchi toka mwaka jana ila tayari washavunja na michepuko.
Tukubali kubadilika.. [HASHTAG]#UsipateUkimwi2017[/HASHTAG]
 
Kwnza hata kuipa attention hadi kuifungulia uzi hukutakiwa.
 
Tangu mke wangu aende nyumbani kwao kujifungua, sijafikiria kabisa kuhusu kufanya mapenzi tofauti na mke wangu.Nilichojifunza ni kuwa 'busy' na kazi zangu binafsi, naingia kazini saa moja asubuhi natoka saa nne usiku, nafika nyumbani nimechoka naoga na kulala. Saa ngapi nitafikiria mapenzi, sina 'stress' mie.
Hongera mkuu,kweli ukiwa busy unajiepusha na mengi sana.
 
Lengo Ni kupeana mbinu mbadala za kushnda matamanio japo vishawishi Ni vingi.Inawezekana bila ngono,inawezekana bila michepuko,Inawezekana bila Musterbation. [HASHTAG]#UsipateUkimwi2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#UsipigeNyeto2017[/HASHTAG] [HASHTAG]#Usitoe0713[/HASHTAG]..
Acha uzembe!
Unaumri gani kwanza
 
Back
Top Bottom