Ambao hatujahesabiwa na hatutahesabiwa tukutane hapa

Ambao hatujahesabiwa na hatutahesabiwa tukutane hapa

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Jamani mjiandae kuhesabiwa. Mimi bado sijahesabiwa na sitahesabiwa.

Niko tayari kuhesabiwa endapo serikali itaweka wazi mfumo wake wa kuajiri B.O.T na TISS.

Kwenye issue za ajira muhimu wanabandika matangazo ya kazi ofisini kwao tu ila kwenye sensa na uchaguzi mpaka wahadzabe wanafikiwa.
 
Ndugu kuhesabiwa hakutakupunguzia chochote,!!

Kuhesabiwa imekuwa ni desturi ya enzi na enzi, na kuweka record nzuri tu ya nchi na watu wake!!

Achana na wajinga wachache wanaohamasisha upumbavu, kama unajielewa unaelewa umuhimu wa Takwimu kwa nchi!!

Jitahidi wewe na Kaya yako kutoa ushirikiano stahili kwenye hili zoezi!!
 
Unahesabiwa ikija issue kwenye ajira za maana wanabandika tangazo la kazi ofisini kwao tu
 
IMG-20220823-WA0011.jpg
 
Unataka kuleta zile mara wanakuja kusort chuoni wenye GPA ya juu.
Wewe umeajiriwa B.O.T au ulikataa offer?
Wamefanya ivyo mwaka juzi Walichukua top ten ya waliopata kuanzia upper second wakaenda kufanya interview wakaja ku short list walioingia oral baada ya hapo nikasikia wanaita mmoja mmoja nina jamaa zangu wawili wote ni Mzumbe waliitwa wakafanya written wakapita mpaka oral mmoja alipata mwingine hakupata.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu namjua kabisa ni std 7 na ujuzi wa veta nmeona kapost yupo na kishkwambi na reflector ya sensa🤣
 
Back
Top Bottom