Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Unahesabiwa ikija issue kwenye ajira za maana wanabandika tangazo la kazi ofisini kwao tuNdugu kuhesabiwa hakutakupunguzia chochote,!!
Kuhesabiwa imekuwa ni desturi ya enzi na enzi, na kuweka record nzuri tu ya nchi na watu wake!!
Achana na wajinga wachache wanaohamasisha upumbavu, kama unajielewa unaelewa umuhimu wa Takwimu kwa nchi!!
Jitahidi wewe na Kaya yako kutoa ushirikiano stahili kwenye hili zoezi!!
Maendeleo gani na wewe hebu acha upuuzi wako. Sensa toke zimeanza kufanyika zimemsaidia nini Mtanzania?Sensa ni kwa maendeleo yako kijana.......baadae utaanza kuilaumu serikali kwa kutoleta maendeleo
Unataka kuleta zile mara wanakuja kusort chuoni wenye GPA ya juu.Mkuu ulisoma chuo gani na ukapata GPA ya ngapi? Hapa nataka nikwambie namna B. O. T wanavyoajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Hua wanatangaza zile entry position ila GPA lazima iwe ni Upper Second na first class mwaka jana au mwaka huu mwanzoni walitangaza nyingi kama 10+ hivi..Unataka kuleta zile mara wanakuja kusort chuoni wenye GPA ya juu.
Wewe umeajiriwa B.O.T au ulikataa offer?
Mbaya zaidi na maandazi wataachaj kusinzia hapo
Wamefanya ivyo mwaka juzi Walichukua top ten ya waliopata kuanzia upper second wakaenda kufanya interview wakaja ku short list walioingia oral baada ya hapo nikasikia wanaita mmoja mmoja nina jamaa zangu wawili wote ni Mzumbe waliitwa wakafanya written wakapita mpaka oral mmoja alipata mwingine hakupata.Unataka kuleta zile mara wanakuja kusort chuoni wenye GPA ya juu.
Wewe umeajiriwa B.O.T au ulikataa offer?
Huku niliko Tanganyika mpaka sasa reflector na vifaa vingine muhimu havijafika tumeamua kuingia mzigoni vifaa vitatukuta.
Sensa ni fursa ya CCM kujipatia hela ya kuimarisha chama, hao makarani wote ni chipukizi wa CCM, so watakao hesabiwa ni wale wale wapiga kura wa CCM
Hivyo vikarani ni vi ccm chipukizi ndugu.Kuna possibility vikarani vingine havina hata form 4 certificate
AhahahahaKuna mtu namjua kabisa ni std 7 na ujuzi wa veta nmeona kapost yupo na kishkwambi na reflector ya sensaš¤£
Ona ona sasa.Hivyo vikarani ni vi ccm chipukizi ndugu.