rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Hovyo sana hii Inji ni ovyo nasemaOna ona sasa.
Na ajira nyingi za serikali bila connection hutoboi. Labda zile za mafungu ambazo mara nyingi hazina issue
Mtego huiMkuu ulisoma chuo gani na ukapata GPA ya ngapi? Hapa nataka nikwambie namna B. O. T wanavyoajiri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mengi umechafukwa hatari🤣Hovyo sana hii Inji ni ovyo nasema
Na wakikuja kwa boma angu nipo napiga roba hayo makora ya Inji iii😂Mengi umechafukwa hatari🤣
Sawa mwana njiNa wakikuja kwa boma angu nipo napiga roba hayo makora ya Inji iii😂
Baby wangu wameshakuhesabu?Unataka utufanye nn
Alfu kweli wew ndio unataka kufanya Kaz tiss na b.o.t hapana kwa kweli tulia tu na ujinga wako wakiwango hiki Ni Bora usihesabiwe mbuz Kam huyu nae unamuasabu vipJamani mjiandae kuhesabiwa.
Mimi bado sijahesabiwa na sitahesabiwa.
Niko tayari kuhesabiwa endapo serikali itaweka wazi mfumo wake wa kuajiri B.O.T na TISS.
Kwenye issue za ajira muhimu wanabandika matangazo ya kazi ofisini kwao tu ila kwenye sensa na uchaguzi mpaka wahadzabe wanafikiwa.
Bado love ake,vp wewe?Baby wangu wameshakuhesabu?
Mimi tayari mapema tuBado love ake,vp wewe?
Ni ndugu zao wamewatoa mikoa nyingine wameacha vijana hawana ajira mwaka wa 5 sasa dah.Kuna possibility vikarani vingine havina hata form 4 certificate
Mzee huko mbal.sisi wenyewe hapa karema tunapiga kaz.ifinsi hukoHuku niliko Tanganyika mpaka sasa reflector na vifaa vingine muhimu havijafika tumeamua kuingia mzigoni vifaa vitatukuta.