Kuosha viombo........Mabachela wenzangu mupooo..
Ebwana hizi kazi zingine bora kuoa tu nakwambia.. Kupika tu wali na samaki jiko limetapakaa vyombo huku na huko..
Sio ajahu siku tatu zinapita vyombo havijaoshwa.. Nachukia sana hii kazi aisee
Wenzangu ni kazi gani inakukera sana huko magetoni hadi unatamani kuoa tu...
kuosha vyombo na kudekiMabachela wenzangu mupooo..
Ebwana hizi kazi zingine bora kuoa tu nakwambia.. Kupika tu wali na samaki jiko limetapakaa vyombo huku na huko..
Sio ajahu siku tatu zinapita vyombo havijaoshwa.. Nachukia sana hii kazi aisee
Wenzangu ni kazi gani inakukera sana huko magetoni hadi unatamani kuoa tu...
Kula mgahawaniMabachela wenzangu mupooo..
Ebwana hizi kazi zingine bora kuoa tu nakwambia.. Kupika tu wali na samaki jiko limetapakaa vyombo huku na huko..
Sio ajabu siku tatu zinapita vyombo havijaoshwa.bNachukia sana hii kazi aisee
Wenzangu ni kazi gani inakukera sana huko magetoni hadi unatamani kuoa tu.
Nunua dishwasherkuosha vyombo... maana kufua nilijikaza nikanunua mashine
Nunua dishwasher+washing machineKuosha vyombo + kufua
Nunua dishwasher,vacuum cleanerkuosha vyombo na kudeki
Nunua dishwasher+washing machine
Kwani kuna ugumu gani. Au ajiri msaidizi.Sawa mkuu
....Ulivyoongea kirahisi [emoji16][emoji16]
Kwani kuna ugumu gani. Au ajiri msaidizi.
Samsung, Hotpoint,Beko, Whirlpool etcItabidi ninunue tu mkuu...
Design gani ni nzuri?