ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi