Ambao hatujatoka nje tokea Jana tukutane hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi
 
Hahaha, Mimi nimeingia magetoni Ijumaa usiku baada ya kulamba kilaji, mpaka sasa nimeshinda ndani na muda huu mvua inanyesha, uzuri niko na manzi na tunacheki movies
 
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi

Mkuu umenifurahisha, hii kitu huwa inatokea unaweza kukaa ndani siku hata tatu bila kutoka
 
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi
Acha kupost ujinga dada angu
 
Kama choo kipo mita 10 tena cha pasipoti Saudi kutoka chumbani kwako na umeenda Mara tatu tangu Asubuhi nami nahesabika sijatoka nje au inawahusu wenye vyoo vya ndani peke yenu?
 
NI Kiswahili tu..😂😂😂😂....Mimi nasema hivi AMBAO HATUJATOKA NJE TANGU JANA TUKUTANE HAPA PIA
 
Vipi na wale wanaotoka chumbani kwenda sebuleni alaf kiwambata inawahusu au niwale wenye magheto yenye kitanda humo humo choo tv na jiko lakupikia chumba kimoko?
 
Back
Top Bottom