ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Toka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi
Acha kupost ujinga dada anguToka Jana usiku niingie magetoni nimevunja rekodi kwani mpaka saa hizi ninavyopost hii thread huezi amini sijatoka nje.kila kitu namalizia humu humu ndani bahati nzuri palikuwa na kiporo Cha ubwabwa Cha Jana ndo kime nisave asubuhi na mchana huu.kuna ambaye siku ya leo hajatoka nje Kama mimi
Kama choo kipo mita 10 tena cha pasipoti Saudi kutoka chumbani kwako na umeenda Mara tatu tangu Asubuhi nami nahesabika sijatoka nje au inawahusu wenye vyoo vya ndani peke yenu?
Hii haikuhusu mkuu, labda uwe unakaa kwenye nyumba yenye getiKama choo kipo mita 10 tena cha pasipoti Saudi kutoka chumbani kwako na umeenda Mara tatu tangu Asubuhi nami nahesabika sijatoka nje au inawahusu wenye vyoo vya ndani peke yenu?