ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
- Thread starter
- #181
Tumeshikwa pabaya mshikaji wanguRafiki acha kutoa siri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshikwa pabaya mshikaji wanguRafiki acha kutoa siri
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka balaaNimekoma
AhhahahaahahTumeshikwa pabaya mshikaji wangu
Sawa rafiki nakupenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rafiki nakupenda zaidi, i'll be on your side forever and more!Sawa rafiki nakupenda
hahaaa waomba access kwa modsSipo wanajiungaje?
Kwakweli tunastahili pongezi mabikiria wa jf
Hahhhahhahwe si ulisema umempa mtu mimba juzi juzi hapa, ukawa unaomba ushauriwe jinsi ya kuikataa.
Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba - JamiiForums
Hameni tuHahaha nahama JF
Sawa rafiki ila chura sinaRafiki nakupenda zaidi, i'll be on your side forever and more!
Na wewe umo?Kwakweli tunastahili pongezi mabikiria wa jf
Allah akbar umefikaje hapa?Na wewe umo?
Yesu kristu, samahani Kumbe nimepotea njia!!!!Allah akbar umefikaje hapa?
Usiku mwemaYesu kristu, samahani Kumbe nimepotea njia!!!!
Unazani sifa siku ukibaka ndo utajutiaNi kwa Wale tunaomuheshimu Mungu na kumtii kile ambacho ametuagiza kwamba tusizini.Sisi mabikra wa kiume na wa kike tumeamua kusubiri mpaka kwenye ndoa ndo tuanze hako kamchezo tukutane hapa kuzidi kutiana moyo na kupeana hongera kwa kujitunza huko kwani tumeepuka mengi sana.tumethubutu kujiweka mbali na lile shimo linalopoteza na tumeweza japo majaribu ni mengi lakini hayatufanya kutamani kulionja lile tunda.big up kwa wana jf wote ambao hatujawahi kusex
Ntaomba aiseehahaaa waomba access kwa mods
unapitwaNtaomba aisee