Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Tofauti yake yeye sio mshirikinaKumbe ni jambo la kujivunia kabisaaaaaa.
Huna chale ila una tatoo, tofauti yake nini?
Sina tatoo wala mchoro wowoteKumbe ni jambo la kujivunia kabisaaaaaa.
Huna chale ila una tatoo, tofauti yake nini?
Dah, humu JF mbona ni mimi peke yangu sipati mkaguzi wa mwili wangu, anikague hadi utosi kwa kuhesabu nywele mojamoja?Acha kutudanganya, hebu angalia hapo kichwani karibu na utosi uone kama hamna chale tatu.
Mengine yalifanywa na wazazi wetu pasi kujua.
Mengine yamefanywa na wachawi tukiwa tumelala.
Nliwahi kupigwa chale za mvuto. Nilipotoka hapo nikawa nagombana na watu Kila sikuSwalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
Wengi wanaojisifu hivyo tayari ni wachawi wakubwa na wanautumbo mkubwa wa kuwafanya wawe na kiu ya kuwanga. Hakuna sifa hio ya bila kuujua uchawi, tayari una zindiko la wazazi wako au la Babu Yako au bibi yako. Unawajua manyafu wewe wale wa Kinyika enzi hizo eneo la kiwira magereza au eneo la mbojo? Kabla hawajatimuliwa kwenda Sumbawanga Rukwa ?Swalama Wananzengo.
Kila mtu anazaliwa na kinga yake ya kimwili na ya kiroho.
Kinga nyingine tunaziongezea baada ya kuzaliwa kama kinga ya magonjwa ya surua, polio, kifua kikuu, dondakoo nk
Wengine sasa huenda mbali zaidi kwa kuongeza kinga za kiroho kwa kuchanjwa chale na waganga, kumezeshwa mafuta ya Mwamposa ili mtoto asidhurike (huu nao ni uganga new model).
Pia kuna sisi ambao tumekaa sehemu ngumu, kwenye urozi wa kila aina na wa kila rangi lakini hatukuyumbishwa.
Nimekaa sehemu zenye Wanyamanyafu, nimekaa kwa kina Ibambanghulu, mtu anatuna ndani ya nyumba anajaa nyumba nzima.
Sikufanya chochote juu ya mwili wangu na roho yangu.
Sisi ndio watu wabishi ambao hatusomeki kwenye rada za kina Mshana Jr
UlifarakanishwaNliwahi kupigwa chale za mvuto. Nilipotoka hapo nikawa nagombana na watu Kila siku
Mrushie taulo huyo hajui kitu.Acha kutudanganya, hebu angalia hapo kichwani karibu na utosi uone kama hamna chale tatu.
Mengine yalifanywa na wazazi wetu pasi kujua.
Mengine yamefanywa na wachawi tukiwa tumelala.
Hata ulaya wanapiga ramli nilishakataa kumfuata mama mmoja wa kizungub kwenda kwa mpiga ramliLabda uwe umezaliwa na kumeishi ulaya?
Kumbe ni jambo la kujivunia kabisaaaaaa.
Huna chale ila una tatoo, tofauti yake nini?