Ambao hatujawahi kupanda ndege za Magufuli tukutane hapa

Ambao hatujawahi kupanda ndege za Magufuli tukutane hapa

Hata wapiga zumari wa kusifu na kuabudu hawapandi hizo ndege. Zikienda Mwanza zinaenda tupu, hamna abiria
 
Hizi ndege ni White Elephant 🐘🐘🐘
 
Aisee sijawahi kupanda ndege ya Magufuli.
Sijawahi kupanda ndege.
Mh. Rais uwa namuona kwenye TV tu sijawahi kumuona ana kwa ana.
Mtu maarufu pekee nimewahi muona ana kwa ana ni Matonya mwaka 2012/13 Songea.
 
Ukimaliza hapo anzisha na ambao hawajawahi kupanda ,,Treni ya Magufuli” alioifufua, usisahau pia na ambao hawaishi nchi ya Magufuli Tanzania pia.
 
Back
Top Bottom