Ambao hatujawahi kupata ban tangu tujiunge tukutane hapa

Ambao hatujawahi kupata ban tangu tujiunge tukutane hapa

Kwa upole sikupingi wewe ni mpole hapa JF. Ila ban tunapata watu hasa tukisahau sheria au kutosoma sheria. Watu wasiochangia si rahisi kupata ban.

Ila ban nyingine hutolewa ukimkosoa mtu mayai anayelelewa humu JF. Mfano ukikataa ujinga wa mtu mmoja humu mwenye ID mbili, anayejifanya mtu wa kitengo, ana matusi mengi na anapenda kutumia fungua na funga semi kwenye title za threads zake. Huyu ukimbishia kidogo anajifanya ana akili sana na wewe unaonekana POPOMA kisha mods wanaweza kukupa ban. Sio huyu tu, kuna jamaa alishawahi bishana na mtu wa kilingeni humu kuhusu ile app gani ilikuwa inatoa vocha, huyo jamaa alipewa ban.

Pia kuna watu wanakoseshwa ban mpaka nidhamu inakosa. Wanatukana matusi mazito na kudharirisha watu na kuachwa watambe.

Ukitaka kuepuka ban piga block kila unayehisi atakusababishia. Kuna watu unajua huyu kwa lugha hii, kauli hizi au mada hizi zinazonikera hata aandike nini hakiwezi nisaidia unapiga ban unabaki na mambo machache. Nawe utapigwa ban na asiyekuelewa.
MTU wa ivo mpotezee tu.
 
Ban kitu gani wewe kwani kuna mshahara au malipo fulani huwa tunakosa sisi wazoefu wa hizo ban?
 
unakaaje ni baadhi ya members wajinga-wajinga bila kuwapa facts kuhusu hali zao (nyie mnaita kutukana, lakini kiukweli ni kum-describe mtu alivyo)
1. Hakuna Uhuru nje ya Sheria.
2. Kama hapa jukwaa la kijamii kuna sheria, taratibu na kanuni za kuzingatia, basi kila pahala ni vyema kuzingatia na kuzitii sheria bila shuruti.
3. Ninapendekeza lianzishwe jukwaa la kushughulikia nidhamu za wanaJF (Jf mahakama) ili tufanye mazoezi ya utawala bora wa kufuata sheria. Mahakama ndiyo kiwe chombo cha kufanya maamzi ya utekelezaji wa adhabu. Siyo mtu mmoja afanye maamzi ya ban.
 
Back
Top Bottom