Ambao hatukuitwa kwenda JKT tunapata wakati mgumu katika kuomba ajira, vigezo vinahitaji aliyepita JKT tunaomba ushauri tufanye nini?

Bila shaka hizo ni ajira za majeshi na ni kweli huwezi ajiriwa huko kama hujapitia jkt, fanya kama kuachana nazo angalia upande mwingine
Jamaa wanazingua sana hilo nimeliona kwenye ajira za Takukuru pia, sijui wanataka vijana wafanye nini.
 
Mtoa mada nakusalimu sana ... ilikupasa utoe ufafanuzi mzuri ili ueleweke ipasavyo.. kwa ufupi swala la ajira wakati mwingine inategemea iterest yako ipo wapi ...

Vyombo vya ulinzi na usalama vikitoa matangazo ya ajira kigezo kimojawapo ni uwe umepitia JKT kwa kujitolea au mujibu wa sheria , hapo kigezo cha JKT kuna wakati kinakuwa sio lazima kulingana na uhitaji wa chombo chenyewe...

Kuna Taasisi nyingine za Serikali ziliwemo wizara , na sekta nyinginezo sasa hizo vigezo vyao vya uajiri ni rare sana kukuta wanataka uwe umepita JKT wao utakuta kigezo chao kikubwa ni kiwango chako cha elimu huenda ikahitajika kuanzia kiwango cha elimu ya Shahada nk

Hivyo mtoa mada vigezo vikiwekwa , hakuna uhakika wa asilimia mia moja kuwa vitaendana na interest zako , ni vymea wakati
mwingine uende kule kunapo wiana na sifa tajwa ulizonazo..

Huo ni mtazamo wangu , karibuni mni sahihishe
 
Natoa shukurani kwa maombi yangu na andiko langu kufanyiwa kazi.. ahsanteni sana wahusika wote ingawa mh. Luhaga mpina kapinga kwa kupiga kura ya hapana..
 
Natoa shukurani kwa maombi yangu na andiko langu kufanyiwa kazi.. ahsanteni sana wahusika wote ingawa mh. Luhaga mpina kapinga kwa kupiga kura ya hapana..
Kabisa wamejibu mzee.saiv JKT wasahau kupata watu wa kujitolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…