Extra miles
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 3,652
- 4,972
Hilo ndio suala la msingi mkuu,Duh! Ngoja niunde kwanza mzunguko mzuri wa fedha
Huwezi kutuma mpaka mm nikutumieNdiyo, vp naweza tuma ujumbe pm?
Ni ufujaji wa pesa tu kununua gari mara ujaze mafuta mara service...halafu ni matumizi mabaya ya rasilimali huku tukiwa na miguu,kisha tutakosa kushiriki kijamii kwa kutotumia public transport.Hakuna kununua magari,kampeni ya kutembea kwa mguu idumishwe.
hahahahha sasa unadhani tutafanyaje mkuu kama sio kufanya 'sizitaki mbichi hizi' kama hali ni tata kiasi hicho.[emoji23][emoji23][emoji23] pale ambapo jamaa hali ngumu lakin anajarbu kujipa.moyo
teh ..teh...tehh....lakini unakimbiza kisukari!Daah
Viatu vinachakaa haraka kwa kukanyagaa kwa miguu kila siku.
Aisee ntaelezea nin watoto juu ya babayao kukosa gari
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]
Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"
Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]
Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]
Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?
Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]
Nawasilisha mheshimiwa spika!!
Wenye magar mabovu tuna comment WAP ..?
asante kwa mchango wako mweshimiwa mbunge na mwakilishi wa wote wasio na magariVipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]
Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"
Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]
Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]
Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?
Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]
Nawasilisha mheshimiwa spika!!
salio lina drop au unadonoa ww mwenyewe ?Mkuu mbona mie siana, nafanya bidii sana nikifikisha mil 3, najikuta salio lime drop mpk laki 2[emoji856][emoji856][emoji856] matatizo yani
taratibu mzee cheki unakanyaga vitu kwa mbio zako. utakula kofiNimekuja mbio nikijua MGAO WA NOAH.... Kumbe mambo ya Mo na Kilomoni
acha chuki kwa mwanaNaomba usipate gari ili huu uzi ulionzisha hapa udumu milele!
maneno ya wakosajiFreemason hao![emoji41]
hicho kimzigo nyuma haukishushi tuu kila siku kinabembea ?Kwa siku ya leo, misina neno kabisa....tehView attachment 1165342