Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Duh! Ngoja niunde kwanza mzunguko mzuri wa fedha
Hilo ndio suala la msingi mkuu,
Ukiwa na good circulation ya hela gari yeyote unanunua. Hata nyumba unajenga kabisa. Na hii ndio formula matajiri wanatumia kuwa hapo walipo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pale ambapo jamaa hali ngumu lakin anajarbu kujipa.moyo
Ni ufujaji wa pesa tu kununua gari mara ujaze mafuta mara service...halafu ni matumizi mabaya ya rasilimali huku tukiwa na miguu,kisha tutakosa kushiriki kijamii kwa kutotumia public transport.Hakuna kununua magari,kampeni ya kutembea kwa mguu idumishwe.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] pale ambapo jamaa hali ngumu lakin anajarbu kujipa.moyo
hahahahha sasa unadhani tutafanyaje mkuu kama sio kufanya 'sizitaki mbichi hizi' kama hali ni tata kiasi hicho.
taboo zinaanzaga hivyo hivyo eti mjamzito asile nyama sijui inasababisha mtoto kuwaje kumbe hali haziruhusu tunajifariji tu.
 
nilibahatika kupata gari katika umri mdogo na gari zuri kwa wakati huo lakini sikufikiria kujenga zaidi ya kuzunguka viwanja nikishindana na majokofu ya bar na majiko yake!
wakati huo ratiba yangu ilikuwa vizuri
  1. jumatatu urojo ilala kwa kuwa mwishoni mwa wiki nimekulakula hovyo
  2. jumanne nitakaa millenium tower opposite sikumbuki kunaitwaje tena au naweza sogea rose garden nikichoka nampitia wife sinza saloon nikimbebesha kuku wa kuzunguka
  3. jumatano hugo house mchemsho wa kuku
  4. alhamisi DDC kondoa kulikuwa na mishkaki usipime
  5. ijumaa naanza na changombe village mchana lunch kabla ghorofa halijaanguka kisha tabata kwa mshikaji anakijiwe cha kiti moto
  6. jumamosi kazi kidogo kisha tunaamia biashara club
  7. jumapili vikao vya harusi msimbazi liverside wakati wa kurudi unapitia temeke chips kuku au opposite na liki hotel kuna kuku wa kuchoma.
baada ya gari kupata ajali washkaji wakakatika kwanza kama yalivyo maji nikarudia ubaridi wangu na ndipo nikakumbuka viwanja vyangu kimoja nikaanza kukijenga.
kwa hiyo wenye magari wanahitajika kuwa makini kwa mazingira wanayoishi hapo nimeruka tafrija za kujifisha na vidada!
 
Wenye magar mabovu tuna comment WAP ..?
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]
Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"
Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]
Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]
Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?
Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]
Nawasilisha mheshimiwa spika!!
 
asante kwa mchango wako mweshimiwa mbunge na mwakilishi wa wote wasio na magari
 
Back
Top Bottom