Joowzey
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 13,166
- 13,514
mashavu hvyo vikopo vina nn? maziwa au baoNasubiri majibu ya wenye magari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mashavu hvyo vikopo vina nn? maziwa au baoNasubiri majibu ya wenye magari
Naomba usipate gari ili huu uzi ulionzisha hapa udumu milele!
Mkuu 2030 langu nitakuw nalo
Nasubiri majibu ya wenye magari
Kwa kweli kukosa gari mtu unapoteza hata confo kwa washikaji na wao wanakuona umelostika.
Freemason hao![emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwa siku ya leo, misina neno kabisa....tehView attachment 1165342
Vipi wakuu mko poa? [emoji23][emoji23]
Makonda wa daladala wanasemaje.....Mnadai mia au mnapotezea?[emoji41][emoji41]
Haya turudi hapa[emoji855][emoji855]
Leo asubuhi nilienda dukani, mara baada ya kuhudumiwa nikawa nasubiri mkate wangu wa chai anikabidhi....Akaja mama mmoja hivi anagari moja hivi nyeusi kali imepanda hewani, Tairi zake zote nne zipo juu juu yaani inanesa nesa tu[emoji856][emoji856]
Mama akashuka na kuja dukani huku gari inakimuungurumo fulani hivi cha chini chini wamiliki wanasema "sailensa"
Mama kajifunga kitenge na kisuruali mbano kipo ndani cheupe[emoji19][emoji19][emoji19] daah [emoji6][emoji6] lahaula.....[emoji1316]
Moyo umeniuma sana kwanini watu wanamagari mimi sina[emoji19][emoji19][emoji19] ...Nitawaeleza nini watoto[emoji34][emoji34]
Je waliyonayo wamefanya vipi ili kuyapata!? Je wote wamekopa? Je kwa biashara zao wafanyazo? Ni zipi hizo!? Je mitaji ya biashara hizo walitoa wapi? Urithi au waliuza mali za familia?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Na sisi ambao hatuna magari tufanyaje ili tumiliki ndinga kali? Huwa unajisikiaje unakula lifti kwa mshkaji aliyekuzidi umri na ana ndinga kali wakati ww pia unanguvu zako?
Embu tujadiliane hapa, mbinu njia au ubunifu wowote utakao tusaidia kumiliki ndinga bhana[emoji34][emoji34][emoji34]
Nawasilisha mheshimiwa spika!!
Uninunulie na mm eenh [emoji847][emoji847]Mkuu kuna uzi niliwahi leta hapa jinsi ya kupata gari kwa mkopo. Mimi kama mimi nilikwama japo nilipata watu ila walikuwa na masharti. Ila nilikomaa na baadae nilinunua gari mbili. Kwa sasa naweza nunua gari nilitakalo bila kukopa (ila namaanisha hizi gari za Toyota)