Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Mkuu nipe nami huo mchongo[emoji19][emoji19]
Mkuu kuna uzi niliwahi leta hapa jinsi ya kupata gari kwa mkopo. Mimi kama mimi nilikwama japo nilipata watu ila walikuwa na masharti. Ila nilikomaa na baadae nilinunua gari mbili. Kwa sasa naweza nunua gari nilitakalo bila kukopa (ila namaanisha hizi gari za Toyota)
 
Back
Top Bottom