Africa Tanzania
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,504
- 2,272
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh..Akili za kuambiwa..
Mkuu... gari unajua kuendesha??
Very simple mkuu, fanya kazi ila weka akiba tena kwa kijilazimisha. Mfano kila mwezi ukiweka let say laki tano kama akiba unafika mbali sana
Story ya kumuona huyo dada na gari mbona sijaielewa.
Nimecheka mpk basi
Mm ata mgongo wa chura [emoji847][emoji8] ili mradi nikalie matako tu
Tulia mkuu, soma kwa makini[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukishindwa kuendesha gari basi muendeshe hata mkeo..
Mm ata mgongo wa chura [emoji847][emoji8] ili mradi nikalie matako tu
Sina mama kama unalo ukija dar unipe liftShoga angu huna gari weyee
Sina mama kama unalo ukija dar unipe lift
Nimesoma sijaelewa. Sijajua kama umemtamani dada au umetamani gari ?
Kama umemtamani dada si ungemwambia tu. Kama umetamani gari inakuaje nguo za dada zinakutisha [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nimeanza kununua matairi kwanza
Gari lina Pumbu[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa siku ya leo, misina neno kabisa....tehView attachment 1165342