Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Ambao hatuna Magari tukutane hapa!

Mkuu mbona wengi tunafanya kazi na tuna save[emoji41][emoji41][emoji41] au tuvumilie hata miaka 10[emoji848][emoji848][emoji848]
Mkuu unadhan kwa nini hela hiutwa "currency". Ukisave hela unakiuka kanuni za fedha. Unaweza save for 10 years ukajikuta hicho kiasi kimeshuka thamani.
 
Mkuu mbona mie siana, nafanya bidii sana nikifikisha mil 3, najikuta salio lime drop mpk laki 2[emoji856][emoji856][emoji856] matatizo yani
Ivo yaani unamke ikitaka kukaribia tatizo linapotokea mara paaah! Imedrop mpaka nimeghairi kabisa kuwekea matairi manne bajeti yake.
 
Ni ufujaji wa pesa tu kununua gari mara ujaze mafuta mara service...halafu ni matumizi mabaya ya rasilimali huku tukiwa na miguu,kisha tutakosa kushiriki kijamii kwa kutotumia public transport.Hakuna kununua magari,kampeni ya kutembea kwa mguu idumishwe.
 
Duh! Ngoja niunde kwanza mzunguko mzuri wa fedha
Hii ya installment ndio inatumika kununua gari za kifahari kama G wagon, Range rover na nyingine nyingi za zero kilometer.
Ukiwa na mzunguko mzuri wa hela ni rahisi kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom