Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

Hivi mbona kila mwaka anazaliwa jamani!!??mi mwsnzio nafurah zangu kuwa free home leo tu Mambo mengine wanaodanganywa na siku moja wakazee
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
FB_IMG_1545462330660.jpeg
 
Mimi kwakweli nimepanga nizime leo so nasubiria tu saa 10 jioni nisogee maeneo nikapige safari zangu najua safari 12 zinanitosha
 
Mi mwenyewe sii muumini wa sikukuu yoyote, sema leo nna furaha kidogo sababu ya mgeni wangu kama atajongea...
 
Back
Top Bottom