Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
siyo Dallas mkuu?
Mkuu hivi huwa unamaanisha? Au ni changamsha jukwaa tuKama kawaida yangu nimeshavuta chombo nasubiri aje hapa apike pike then baada ya msosi nimle mpishi mpaka kesho
Mkuu hiyo ni namaanisha ukitaka proof ukuje PM ila ukeep secretMkuu hivi huwa unamaanisha? Au ni changamsha jukwaa tu
Acha ujinga utakufa mapema. Do it responsibly. Fanya kwa ustaarabu.Sherehe yangu ni kwenye papuchi pekeeee
Sikukuu gani huwa unaiona ya muhimu katika maisha yako? Except Public holidays??Watu wanapagawa kabisa.. wapo tayari hata kukopa!!
Kwani ww una sherehekea sikukuu ipiNi kweli.. ila wasisumbue watu hasa kwa sasa ambao hii siku ni ya kawaida tu sawa na siku nyingine!!
Kufa utakufa tu mkuu ata kwa kujikwaaAcha ujinga utakufa mapema. Do it responsibly. Fanya kwa ustaarabu.
Hiyo kweli lakini tusiwahishe mkuu.Kufa utakufa tu mkuu ata kwa kujikwaa
Hii ndio kuthibitisha kuwa maskini hana mapumzikoHauko peke yako!
Hapa Kiluvya nimewapita machizi wanafyatua tofali kama hawana akili nzuri!
To them Christmas is just another day.