Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
tekno hamna mkuu
Na mimi nilihisi ndiyo maudhui ya thread!Kukaa na kuishi na singo maza unatakiwa uwe na roho ngumu sana tena upate shahada ya uvumilivu. Kuna mmoja nilikuwa nae bahati mbaya mtoto akalazwa nikachukua jukumu la kumcare mimi si ndio baba. Mara baba mtu akaja kuona zao lake niligeukwa na mama mpaka mtoto nikaambiwa tupishe tuongee mambo ya mtoto. Alivyotoka mtoto wodini nilianza kumchukia mtoto mpaka mama ukweli nilianzisha vita baridi ndani. Ikabidi ajiongeze tu akaondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app