Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Wale ambao hatupendi kutumia simu kubwa kwa umbo tukutane hapa!
Kwa kifupi sipendezwi na simu pana na kubwa kwa umbo ndio maana napenda
iPhone 7 plain
iPhone 8 plain
IPhone SE
iPhone X
iPhone XS
Kwenye Samsung niliwahi kutumia Samsung galaxy Alha ila nilipoamia iPhone sitarudi tena misri [emoji23]naenda kaanani
Sent using IPhone X