Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
name mimiWakuu, sijui ni mimi mshamba au uhafidhina unanisumbua.
Yani kwanza naona ambao husherekea sikukuu hasa wanaume ni kama walaini vile au hujifanya maisha ya kizunguu.
Kwanza siku yenyewe ya kuzaliwa huwa inapita bila hata kushtuka, nikija kukumbuka labda nikute mtu kaweka status, na inaweza pita mwezi ndo nakuja shtuka imepitiliza.
Najiuliza sijui ni mimi tu au kuna wadau kama mimi?
General Mangi
Daah una roho ngumu. [emoji3] [emoji3] [emoji3]mkuu mm hata kwenye grup la clas ikitokea mtu anasherekea huwa simpongezi
Dah.. hamna kitu nachukia kama siku ikiwa na birthday ya mtu kwenye group.. unakuta msg 76 ukifungua zote eti "happy birthday" , hua nachukia kichizi coz sioni faida yakemkuu mm hata kwenye grup la clas ikitokea mtu anasherekea huwa simpongezi
kumbe una dudee?Ninajinunulia zawadi na mzee akinitoa dinner imetosha
mkuu hii tabia imeanza kumea km michango ya harusiHata Mimi sinaga habari na hayo makitu! Kuna mmoja akajichanganya kaniomba mchango afanye birthday party.....! Nilisikitika sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasemaga hivi nanukuu,,happy birthday miaka 200000008456743267532247888753325789422 kwakemkuu kumbe tupo wengi!!
Yani hata ku-wish watu happy burthday naona ujinga
AF unakuta kapost,,,,Queen/king born in April wakat tunajua all fools are born in April[emoji23] [emoji23] [emoji23]Aiseeeh....na wale wa 29/2 wanapata shida kweli hasa kwenye mwaka ambao february una siku 28...
Anyways mkuu watu wanatofautiana, kama wewe husherehekei wapo wanaosherehekea na maisha yanaendelea
AhahahaAF unakuta kapost,,,,Queen/king born in February wakat tunajua all fools are born in February[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi hua na leftDah.. hamna kitu nachukia kama siku ikiwa na birthday ya mtu kwenye group.. unakuta msg 76 ukifungua zote eti "happy birthday" , hua nachukia kichizi coz sioni faida yake
Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Ungemzaba Kofi la mdomo akili imkaeHata Mimi sinaga habari na hayo makitu! Kuna mmoja akajichanganya kaniomba mchango afanye birthday party.....! Nilisikitika sana!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.Kama washamba basi tupo wengi mi pia sioni umuhimu wake alaf hii ishu ime rise miaka ya hiv karibuni tu nakumbuka hata 2010 hivi vitu havikuepo,,,hizi social network imekuja kuharibu kabsaaa maana inafika stage et unamwagiwa maji
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walimwagia bia kichwani,,,kama hakuwahi kufanyiwa ubatizo nafasi ilikua ndo hiyoNakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.
Alikasirika sanaa.