Ambao Hatusherekei Siku ya kuzaliwa(Birthday)

name mimi
 
15 mwezi wa 7.ndo ilikuwa bithday.yangu nilimshukuru mungu tu.ila ningekuwa na familia ningenunua keki na kula na wanangu na mke wangu.nikipata nitakuja kusherehekea nao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
miimi B day sija wai nasijui kama nisha sherekea
 
Hata Mimi sinaga habari na hayo makitu! Kuna mmoja akajichanganya kaniomba mchango afanye birthday party.....! Nilisikitika sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama washamba basi tupo wengi mi pia sioni umuhimu wake alaf hii ishu ime rise miaka ya hiv karibuni tu nakumbuka hata 2010 hivi vitu havikuepo,,,hizi social network imekuja kuharibu kabsaaa maana inafika stage et unamwagiwa maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeeh....na wale wa 29/2 wanapata shida kweli hasa kwenye mwaka ambao february una siku 28...


Anyways mkuu watu wanatofautiana, kama wewe husherehekei wapo wanaosherehekea na maisha yanaendelea
AF unakuta kapost,,,,Queen/king born in April wakat tunajua all fools are born in April[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.

Alikasirika sanaa.
 
Nakumbuka kuna dada mmoja alikuwa anasherekea sikukuu hii, tukaenda baa moja kali sasa wakati tunamwimbia wahuni wa pale baa waka anza mwagia bia kichwan, maji yan dada wa watu aliloaa mwili mzima na sherehe ikaisha pale.

Alikasirika sanaa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Walimwagia bia kichwani,,,kama hakuwahi kufanyiwa ubatizo nafasi ilikua ndo hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…