Ambao Hatusherekei Siku ya kuzaliwa(Birthday)

Aseee kusherekea siku ya kuzaliwa kwangu huwa naona ni upotevu wa mda kwanza huwa naikumhuka zikiwa zishapita siku kibao.

Delta Force
 
Sijawahi fanya sherehe aisee,ila siku hiyo huwa si isahau cos mama yangu lazima aikumbuke huwa hasahau yani hatakama tupo mbali she always calls me nakunambia happy birthday my baby, aaah huwa inanifanya nifikirie xana upendo wake mkubwa kwangu toka udogo had xaxa a damn grown man,huwa napiga Dear Mama - 2pac,there s nothing i cn pay hr bac,she s appreciated
 


 
siku utapojua kwanini ulizaliwa hapa duniani na kwanini unaishi mpaka sasa na nini dhumuni lako la kuwepo duniani, utaanza kusheherekea birthday na hata isiposheherekea watu watasheherekea kifo chako( there is celebration of life and death) so kijana ishi maisha yako kwa furaha unaweza usiazimishe siku hiyo ila kila siku ukasheherekea siku yako ya kuzaliwa. live ya life to da fullest hommie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
mama yako alibeba ujauzito miezi9 ukazaliwa, si wote huzaliwa wengine hufa. pia alihatarisha maisha yake. kukutunza wewe mpaka uzaliwe maana yake alithamini maisha yako. sasa kwanini usifurahie siku yako ulipozaliwa? siku ukifa mama yako atalia kwa uchungu sababu hutakuwepo tena! mama yako anakukumbusha siku uliyozaliwa sababu hawezi kusahau siku aliyoleta kiumbe duniani. tafakari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: BAK
Basi sherehe tumfanyie mama

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Watu wengi humu ni wanafq hasa wasio chana! Weng wao nenda insta na fb utawaona wanahangaika na vikeki sana. Ila kwa kuwa humu weng wana CLOSED ID ndiyo maana wanazngua.
 
Unajipongeza kwa kufanikiwa kuzaliwa..?!
Kwani kuna yeyote aliyekuwa na mipango wa kuzaliwa?

Sent from my Nokia TOCHI using JamiiForums mobile app!
 
Kuna watu ukiwauliza miaka yao tu hadi wapige hesabu sembuse kukumbuka siku ya kuzaliwa,,, binafsi baada ya kuona huu uzi ndo nimekumbuka birth day yangu lakini ishapita mwezi sasa dah
 
yani na mindevu yangu naanza kupuliza mishumaa sijui kumwagiana maji na kulishana keki mmmh!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha, kumbe unandevu[emoji39]
 

Uko sahihi.Isitoshe Biblia inasema: Mhubiri 7:1 Jina ni bora kuliko mafuta mazuri, na siku ya kufa kuliko siku ya kuzaliwa kwa mtu.

Ndiyo maana Hata Yesu alisema tukumbuke kifo chake si Kuzaliwa kwake!
Ndiyo maana Nyerere day Ni siku aliyokufa sio aliyozaliwa.
 
Kusherekea sio lazima kufungua keki ndg. sergio 5 , hata kuamka mapema siku ya birthday na kufanya sala kumshukuru Mungu kwa kukuongezea siku inatosha sana
Hapo kwenye Mungu kukuobgezea siku unakosea sana.
Mungu hataki ufe mapema uende kwake?
Haya maisha ya hapa dunian ni bora kuliko Mbingun?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifurahisha, kumbe unandevu[emoji39]
ahahahah sasa mwanaume ukiingia utu uzima afu ukose ndevu utakua na matatizoo ya homoni
 
ahahahah sasa mwanaume ukiingia utu uzima afu ukose ndevu utakua na matatizoo ya homoni
[emoji39] [emoji39] [emoji4] [emoji4] hehehee wanitamanisha weye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…