Hongera..kwaiyo we ni single father?Mkubwa kabisa hata akitukuta chumbani anajua tulikuwa tunafanya nn
hahahahHayo mambo ya ma brother men na masister du!! Yani nisiende job et nasherehekea birthday " hayo mambo ya bongo move na bongo flaver tu wasiokua na shughul zinazo waweka busy!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi hawalifahamu hiliTatizo ni pale unapojikuta umezaliwa (mfano) Juma mosi, hiyo kitu inayoitwa BIRTHDAY, inaangukia siku ya Juma tatu.
Huwa nahisi (Pengine) wangeita BIRTHDATE, kwa maana jamii ingekuwa inafurahia/inasherehekea TAREHE ya Kuzaliwa, na sio Siku.
Kidogo wangeweza KUNISHAWISHI...!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah....tuongeze wa pili basiHongera..kwaiyo we ni single father?
Mi wananifanyiaga, sioni mbaya kama unajitosheleza,
Labda wanawake ila mwanaume kusherehekea birthday ni uzwazwa na kama mwanaume unazima mishumaa na kumwagiwa maji lazima wanakubashiteMtu akianza post kwa kukana watu wote wanakana,,,
Haya bana hata mi huwa sisherehekei
sioni uzwazwa wowote hapo, naona ni njia ya kufurahia maisha tu, usiriaz unauweka pembeni once, fun kidogo mambo yanaendelea... labda akiwa obsessed sana na birthday hadi kuyapa kisogo majukumu muhimu hilo tatizo, ila birthday unazitumia kujenga bond na familia na marafiki,Labda wanawake ila mwanaume kusherehekea birthday ni uzwazwa na kama mwanaume unazima mishumaa na kumwagiwa maji lazima wanakubashite
Mwanaume muafrika na ndevu zake anaimbiwa happy birthday, anapigiwa makofi, anazima mishumaa na kumwagiwa maji, lazima ni bashite.sioni uzwazwa wowote hapo, naona ni njia ya kufurahia maisha tu, usiriaz unauweka pembeni once, fun kidogo mambo yanaendelea... labda akiwa obsessed sana na birthday hadi kuyapa kisogo majukumu muhimu hilo tatizo, ila birthday unazitumia kujenga bond na familia na marafiki,
Nashangaa kuwa mwanaume kuwa macho kuna faida gani? kunaongeza mafanikio zaidi? furaha zaidi? kupendwa? hakuna ushahidi mwanaume ukiwa kauzu ndio utafanikiwa kwenye hivyo vitu zaidi,
Ha ha ha ha haisitoshe unakuwa umezungukwa na wadau wa kike na kiume wanakuimbia huku unelifungua domo unasubiri kulishwa keki hepibesdei tuyuuu!
hepibesdei tuyuuu!
auoda yuu na!
hapana aisee..
Mi nakupendaga cicta [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] Cjui y but nakukubali tu!!Ninajinunulia zawadi na mzee akinitoa dinner imetosha
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji35] [emoji35] [emoji35] kuwa mstaraabu CIO sifa jamaa!!!AF unakuta kapost,,,,Queen/king born in April wakat tunajua all fools are born in April[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafikiri wengi wanao sheherekea siku zao za kizaliwa walizoeshwa huu utaratibu na wazazi wao. Hivyo basi ndio kinyume cha wale ambao hawasheherekei siku zao za kuzaliwa. Kwa hiyo sio jambo la kujuta wala kujiuliza ni kwa sababu gani unakosa hamasa ya kufanya sherehe ama tafrija fupi kwenye siku yako ya kuzaliwa.Wakuu, sijui ni mimi mshamba au uhafidhina unanisumbua.
Yani kwanza naona ambao husherekea sikukuu hasa wanaume ni kama walaini vile au hujifanya maisha ya kizunguu.
Kwanza siku yenyewe ya kuzaliwa huwa inapita bila hata kushtuka, nikija kukumbuka labda nikute mtu kaweka status, na inaweza pita mwezi ndo nakuja shtuka imepitiliza.
Najiuliza sijui ni mimi tu au kuna wadau kama mimi?
General Mangi
sijawahi kabisa kusherekea birthday na mara nyingi huwa nasahau mpaka siku inapitaWakuu, sijui ni mimi mshamba au uhafidhina unanisumbua.
Yani kwanza naona ambao husherekea sikukuu hasa wanaume ni kama walaini vile au hujifanya maisha ya kizunguu.
Kwanza siku yenyewe ya kuzaliwa huwa inapita bila hata kushtuka, nikija kukumbuka labda nikute mtu kaweka status, na inaweza pita mwezi ndo nakuja shtuka imepitiliza.
Najiuliza sijui ni mimi tu au kuna wadau kama mimi?
General Mangi
Afu dunia yenyewe imejaa mateso!!Hivi wale mnaopangiwa TAREHE ya kutolewa matumboni mwa kina mama kwa kisu nanyi mnasherehekea Siku ya kuzaliwa au kutolewa tumboni ?
Sent using Jamii Forums mobile app