mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Yategemea na shughuli ufanyayo,hivi kurut anakula kushiba au kuridhika?
Njaa ikija watakula tu mana wakat wa njaa mtu huna uhakika kua baadae utakula au lah so ukipata fursa unatumia
Kuna ka usemi ka wahenga kanasemaga "Shibe Mwana Malevya " kama sijakosea.. Sasa kuruti akishiba ipasavyo siataenda lala huko zamuni.Yategemea na shughuli ufanyayo,hivi kurut anakula kushiba au kuridhika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaondoka na kilo moja ya wali plus ndondo nusu na jagi tatu za majiKuna ka usemi ka wahenga kanasemaga "Shibe Mwana Malevya " kama sijakosea.. Sasa kuruti akishiba ipasavyo siataenda lala huko zamuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mwanaume asifiwi kula"Watu wanaondoka na kilo moja ya wali plus ndondo nusu na jagi tatu za maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume anasifiwa kazi na kazi Ni directly proportion na kula mzee baba
Watu tunabadilika kulingana na Hali mkuu ,af jela ukiwa mtu wa alosto ndo utaumia