Ambao hatushibagi ugali wa hotelini tujuane

Ambao hatushibagi ugali wa hotelini tujuane

Ni kweli kabisa usemacho. Mimi nikila chakula nisichokipenda sishibi hata ungenijazia bakuli nitakula lakini njaa itaendelea kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni sawa na ukiandaa chakula cha kukutosha, mgeni akaja na inabidi mle wote. Kama unampenda utashiba kwa kugawa naye hichohicho, ila kama humpendi hushibi.
 
Naomba kuwasilisha...[emoji30][emoji30]
images.jpg
 
Hahaha kumbe kuna wageni wengine huwapendi...laiti wangelijua....

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaha, siyo unakuwa huwapendi hivyo ni vile tu ile chemistry huielewi.

Kumbuka boarding kama rafiki yako hayupo unapunguza kwenye msosi wako huo huo unamwekea. Wakati mtu ambaye siyo vile unaona kama atakumalizia.
 
Haha niseme ule ukweli sijawahi kufanya hicho kitu, kama hayupo nitaomba kumchukulia ikishindikana basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha niseme ule ukweli sijawahi kufanya hicho kitu, kama hayupo nitaomba kumchukulia ikishindikana basi

Sent using Jamii Forums mobile app

Ugali nilikuwa naweza kumwekea, ila wali no.

Sisi ilikuwa hakuna kumchukulia mtu labda awe na ruhusa na mnaenda kwa mwalimu wa zamu kwamba huyu atanichukulia chakula.
 
Back
Top Bottom