Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu mention wewe tuone[emoji13][emoji13][emoji13]Nilijua utam-mention kabisa.
Amekimbia[emoji13][emoji13][emoji13]anatuletea story za Mume wake halafu hataki kunijibu.
Oya me mume wa mtu sitaki shoboAmekimbia[emoji13][emoji13][emoji13]anatuletea story za Mume wake halafu hataki kunijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa usemacho. Mimi nikila chakula nisichokipenda sishibi hata ungenijazia bakuli nitakula lakini njaa itaendelea kuwepoKushiba ni imani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Amekimbia[emoji13][emoji13][emoji13]anatuletea story za Mume wake halafu hataki kunijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli kabisa usemacho. Mimi nikila chakula nisichokipenda sishibi hata ungenijazia bakuli nitakula lakini njaa itaendelea kuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha kumbe kuna wageni wengine huwapendi...laiti wangelijua....Ni sawa na ukiandaa chakula cha kukutosha, mgeni akaja na inabidi mle wote. Kama unampenda utashiba kwa kugawa naye hichohicho, ila kama humpendi hushibi.
😂😂😂😂
Hahaha kumbe kuna wageni wengine huwapendi...laiti wangelijua....
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha niseme ule ukweli sijawahi kufanya hicho kitu, kama hayupo nitaomba kumchukulia ikishindikana basiHahaha, siyo unakuwa huwapendi hivyo ni vile tu ile chemistry huielewi.
Kumbuka boarding kama rafiki yako hayupo unapunguza kwenye msosi wako huo huo unamwekea. Wakati mtu ambaye siyo vile unaona kama atakumalizia.
Haha niseme ule ukweli sijawahi kufanya hicho kitu, kama hayupo nitaomba kumchukulia ikishindikana basi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndondo ni nini mkuu hahahaaha. Dah leo nimefanikiwa kucheka hahahaWatu wanaondoka na kilo moja ya wali plus ndondo nusu na jagi tatu za maji
Sent using Jamii Forums mobile app