Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.
Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given.
Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.