Ambao hawajawahi kumuona Dennis Bergkamp akicheza muangalieni Max Nzengeli

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.

Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given.

Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.
 
Muholanzi mmoja na nusu, sijui ndege zilimfanya nini masikini ya Mungu mpaka akawa hazitaki kuzisikia.
 
Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given. Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.
Ni hiyo tu ndio iliyomfanya Nzengeli awe Bergkamp? Anyway, umenikumbusha Ian Wright alivyoacha ufalme kwa Henry
 
Utopolo mna shida nyie....!

Hao 'Wamakonde' hakuna hata mmoja anayefanana na aidha Bergkamp wala Zidane... !
Yaani kumfunga Djibouti na zalani ishakuwa shida..
Mkuu kwani zidane na pacome wana tofauti gani
 
Kwa tulioanza kufatilia mpira mwishoni mwa miaka ya 90 nafikiri tunamkumbuka huyu fundi wa kidachi. Kwa kifupi huyu mwamba ndie mentor wa Thiery Henry.

Wakati Max Nzengeli anageuka na mpira kabla ya kutoa assist kwa zizu ghafla nikamkumbuka Bergkamp lile goli lake alivyomzunguka Dabizas wa newcastle kabla ya kumtungua Shay Given.

Kwa madogo ambao hamjawahi kumuona Bergkamp akicheza hamna haja ya kuingia youtube badala yake mwangalieni Max Nzengeli.
Umeniwahi kupost nilikuwa na mawazo Kama yako kuhusu fundi Max
 
Back
Top Bottom